Kupaa Kama Tai

Kupaa Kama Tai

Thomas Gregory Stewart

13,74 €
IVA incluido
Disponible
Editorial:
Redemption Press
Año de edición:
2023
Materia
Biografía: religiosa y espiritual
ISBN:
9781951350345
13,74 €
IVA incluido
Disponible
Añadir a favoritos

Kukulia kwenye nyumba isiyokuwa na baba wa kutegemewa na yenye mama anayekunyanyasa kihisia, ilikuwa rahisi kwa Tom Stewart kuingia kwenye mtego wa kundi la watu wabaya. Huku akizoea desturi ya kufuata ushawishi wa wengine na kutaka uthibitisho kutoka kwa wakubwa wake, Tom alijikuta amenaswa kwenye mwongo wa dhuluma kutoka kwa kiongozi wa kikundi chake cha Maskauti. Kiwewe cha utoto wake kuharibiwa kinamfuata hadi siku za baadaye, ambapo anakumbana na majaribu si haba. Kupitia janga la kiafya, mahusiano yaliyovunjika na kifo cha mtoto wake wa kiume, Tom anashikilia imani yake isiotetereka. Wakati kesi muhimu inapomweka kwenye barabara ndefu ya msamaha na uponyaji, Tom anaanza kuona kusudi la Mungu kwenye uchungu aliokuwa akiupitia. Badala ya kusalia kwenye uchungu, Tom anakabili siku zake za nyuma, akithibitisha kuwa hata katika hali mbaya, Mungu anaweza kugeuza mabaya kuwa mema. Katika kitabu chake cha kumbukumbu ya kuhuzunisha, Tom anawasilisha ujumbe wa tumaini katika mazingira ya madhara yasiyofikirika. Kupaa Kama Tai ni hadithi ya uvumilivu na nguvu ya msamaha, inayotukumbusha kuwa kutokana na neema ya Mungu, kuna uwezekano wa kuinuliwa juu zaidi ya hali zetu za kupondeka. 'Katika utoto wake wote, Tom Stewart alikumbana na mwongo mzima wa dhuluma ya kingono kutoka kwa kiongozi wa kikundi chake cha Maskauti Wavulana. Katika kitabu chake dhahiri, Kupaa Kama Tai, anatusimulia siyo tu kisa chake, bali pia anampatia msomaji maarifa ya kutambua ishara za dhuluma na kutoa njia ya uponyaji kupitia imani katika Yesu. Kitabu hiki lazima kisomwe na kila mzazi ili kumsaidia kuwalinda watoto wake na vilevile lazima kisomwe na kila mtu aliyeteseka kama Tom alivyoteseka.'- Josh D. McDowell, Mwandishi 

Artículos relacionados

  • El Hijo Del Pastor
    Abner Garcia Falero
    Abner Garcia Falero, es el hijo de un pastor reconocido; creció en la sombra del doloroso divorcio de sus padres. Su vida comenzó a desenvolverse a un paso acelerado, desde que era niño, se dio cuenta que su familia rota ahora vivían en la sombra de la pobreza y el rechazo. Confrontado por una lucha constante, delincuencia, y una vida de crimen y violencia, un sentimiento asomb...
  • Beyond East and West
    John C.H. Wu / John C.HWu
    When John C. H. Wu’s spiritual autobiography Beyond East and West was published in 1951, it became an instant Catholic best seller and was compared to Thomas Merton’s The Seven Storey Mountain, which had appeared four years earlier. It was also hailed as the new Confession of St. Augustine for its moving description of Wu’s conversion in 1937 and early years as a Catholic. This...
    Disponible

    106,52 €

  • The Fight of My Life
    Thomas Beavers
    ...
    Disponible

    24,27 €

  • Jeta Ime, Besimi Im Ⅰ
    Jaerock Lee
    “Unë i dua ata që më duan; dhe ata që më kërkojnë me kujdes më gjejnë.” (Fjalët e Urta 8:17) ‘Jeta Ime, Besimi Im I dhe II,’ autobiografia e Dr. Xherok Li, gjithashtu ofrojnë aromën më të këndshme shpirtërore për lexuesit. Kjo ndodh pasi që jeta e tij është shkëputur nga dashuria e Perëndisë, një jetë e cila ka përjetuar dallgët e errëta, zgjedhën e ftohtë dhe dëshpërimin më të...
    Disponible

    14,91 €

  • Môj Život, Moja Viera Ⅰ
    Jaerock Lee
    Môj život, moja viera I a II podáva jasnú odpoveď na otázku: „Ako by sme mali viesť kresťanský život?“ A preto je to kniha pre všetkých tých, ktorí prijali Ježiša Krista a veria v jeho krv z kríža.Keď mám byť úprimný, Dr. Jaerock Lee, predstavený pastor Centrálneho kostola Manmin, je človek, ktorého som nepoznal veľmi dobre. Jedného dňa mi jeden z mojich kolegov daroval jeho au...
    Disponible

    12,77 €

  • Jezebel
    Bill Spencer
    Standing with his arms upraised, holding the crowd hushed and silent by the sheer power of his voice, Elijah was an awe-inspiring figure. His voice filled the clearing and rolled down the mountainside. "Hear my prayer Oh Lord!" Elijah implored. "Hear me that this people may know that thou art the Lord God and that thou hast turned their hearts back again to thee." The crash of ...

Otros libros del autor

  • On Wings like Eagles
    Thomas Gregory Stewart
    Synopsis: I had a nightmare last night.I’d been crying out for help,BUT NO ONE HEARD MY SILENT SCREAMS.Growing up in the home of an absent father and an emotionally abusive mother, Tom Stewart was an easy mark for a predator. Conditioned for compliance and desperate for affirmation from authority figures, Tom falls prey to a decade of abuse by his Boy Scout leader.The trauma of...
    Disponible

    9,32 €

  • En alas de aguila
    Thomas Gregory Stewart
    Tuve una pesadilla anoche. Estaba pidiendo ayuda a gritos, PERO NADIE ESCUCHÓ MIS SILENCIOSOS GRITOS. Al crecer en el hogar de un padre ausente y una madre emocionalmente abusiva, Tom Stewart, era un blanco fácil para un depredador. Condicionado por la sumisión y desesperado por la afirmación de las figuras de autoridad, Tom cae presa de toda una década de abuso por parte ...
    Disponible

    13,72 €